Uncategorized
Trending

Maajabu chini ya jua hayaishi, bibie Nadia Messaoudi anataka mlinzi wa klabu ya Chelsea, Tosin Adarabioyo amhudumie fedha za kujikimu na mtoto aliyezaa na kaka wa mchezaji huyo, Fisayo Adarabioyo. Mwanamama huyo anadai kuwa kwa kuwa Tosin ana kipato kizuri na huwa anamsaidia kaka yake kwenye masuala mbalimbali basi ni shurti atoe fedha za matumizi ya kumlea mpwa wake pia (mtoto wa kaka yake) aliyezaliwa na mwanamama huyo. WANAWAKE Wananiitaga MJUMBE, na MJUMBE hauwawi Follow

 

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button